| Namimi napiga chabo kidogo kwa Marco Chally.... |
| Marco Chally akifanya mambo me pembeni napasua kichwa na Coca Cola |
| Hapa sasa nifute mstari upi na niache upi!? yote iko Hot |
| Doooh! hapa mistari imekataa au nifanye rmx ya Moyo wangu!? |
| Hapa mnyama Aba1(Creative wa Scanad) akidirect kazi.... |
| Aidia imeishakuja hapa ni kuandika kwa pozi.... |
| Mmmmmmh! kuna neno linanipotea mara kwa mara vipiiiiii! |
| Miguu juu sana tu.... |
| Nahakiki sasa mistari imekaa pouwaaa!?? |
No comments:
Post a Comment