| Noti zikimiminika kwenye jukwaa la Platnumz...... |
| JB akimimina pesa huku me nalia na moyo wangu..... |
| Ila watu wa moshi walitisha sana kwa kutunza... |
| Vijana wangu bwana wanakuaga fasta kwenye kuchkua mpunga show tukimaliza show |
| Hii ndio rum niliofiokia |
| Hapa nikiwa kwa bed na PING!!! PING!!! na watu wangu wa town nikiskilizia tym za show zifike nikakinukishe |
| Babu eeeh kaz na dawa |
| Irene Uwoya akitoa shavu kwa Mashabiki,alipendeza eeeeh!? |
| Snura akitema cheche kwa raia.......Nyerere pembeni kama anamtamani hiv |
| Rich Rich kama kawa hakukosa.... |
| Steve Nyerere akimkaribisha JB kusema na FANS...... |
| Steve Nyerere akimkaribisha Ray Kigosi Jukwaani |
| Haka kajamaa bwana kana makeke sana yaani nikimuonaga tu lazma nicheke |
| Mc alikua ni Masanja Mkandamizaji |
| mnh! Masanja huu uMC wako sasa umezidi.. |
No comments:
Post a Comment