Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!
ki.
Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?
- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?
- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William.
- 28th May 2012 09:53#2
Tunakuheshimu sana Willie kama hoja za nguvu zimekushinda sema ..kwa staili hii ya hoja hafifu unajishushia hadhi
COMPARE NA MGOMBEA UBUNGE WA EAST AFRIKA
Yaani hapa umeongea kishambenga kweli kweli, Tunaomba utuwekee na za mwalimu pia sababu hata yeye alipigana kwenye mazingira magumu sana, Au kwa vile yeye alifrustrate issues za mzee, ha ha ha mha mha mha haa, unafiki bwana.
Last edited by Sangarara; 28th May 2012 at 14:45.
Yaani nawe toka uchemshe kwenye ile ya AM akili haifanyi kazi tena umelewa na nini mkuu?
Wivu hukaa kifuani kwa mtu mjinga.
28th May 2012 10:03Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!Ndo maana unastahili hali ya upedezhee ulonayo kama kinje...hufai siasa.unajipendekeza wakti uteuzi ushapita.utaihama nchi 2015 kutokana na jina lako surname yenye laana ya mwalimu.period
- Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!
Hakuna anayechukia mtu yeyote kuwa na gari zuri la thamani, bali kinachogomba ni kutumia fedha za umma kufanya hivyo. Ndo maana hatuhoji magari yako binafsi, wala hatuna sababu ya kuhoji gari binafsi la Mbowe.
28th May 2012 10:08Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!
William usichanganye mambo, yanayolalamikiwa na wananchi ni matumizi mabaya ya kodi zao kwenye mambo yasiyokuwa na umuhimu wowote kwa maisha na ustawi wa walipa kodi. Hapo hata kama umeona ma-VX V8 ni kwamba hayajanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wa TZ, mafuta na gharama za matengenezo(maintenance) hazitokani na hazina yetu. Umeona jinsi ambavyo wanaaminika kiasi cha kuweza kuwachangisha watu kwenye mikutano yao, jaribuni na nyinyi kuomba michango ya wananchi kama mtapata hata thumni.
Huyu mwanzisha maadandiye yule aliyekuwa mgombea ubunge wa Afrika mashariki na akakosa?. Kama ndo yeye jina la Bwana lihimidiwe maana kwa pumba hizi sijui kama angeweza kweli kuitetea nchi yake. Poor him
28th May 2012 10:10Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!
I never knew you were this empty headed and very shallow upstairs...huko unakosema kuchelewa kufika uwanjani sielewi una mantiki gani maana naona ni porojo kama za kwenye vijiwe vya kuuza kawa pale kariakoo labda kama na wewe umeanza kukaa kwenye hivyo vijiwe sawa.
Kama msafara wa Mbowe ungefika baada ya saa kumi ambapo mkutano ndio ulipaswa kuanza then ningekuelewa lakini walifika before saa kumi which was okay.
Ulitaka Mbowe atembelee Bajaj?? VX8 inahusiana vipi na ukombozi? Fikra zako ni finyu sana unapigia kelele VX ya Mbowe wakati Serikali ya CCM ina magari yenye thamani ya trilioni 4.
Narudia tena very shallow thread and thinkinghuyu jamaa inabidi awe na msafara wa magari coz knowing ccm wanaweza wakamdedisha...
Hao walikuwa ni wakombozi waliokuwa wakitaka kuwakomboa wanyonywaji toka kwa wanyonyaji. Walikuwa wakiishi misituni na walikuwa na mitutu ya bunduki wakiwindana na wanyonyaji. Hawa wengine wanataka utawala kuwaondoa watawala waliopo. Wao wana nafasi ya kutembea na kutamalaki hadharani siwezi kuwalinganisha na akina Moises Samora Machel.
Hizo V8 zimekaa kama zile za kutoka dubai USED, sio mbaya sana.
point of correction hayo magari ya CHADEMA walinunua wananchi na mengine kwa njia ya misaada sio kwa hela ya chama......alaf kama point ni magari wabunge wa Magamba mbona wanamagari mpaka ya million 800
Mkuu ulitaka Savimbi akaishi jumba la kifahari huko Luanda akiwa na mitutu huku watawala wakimuangalia tu! Hayo hapo juu ndio maisha ya wakombozi wote. Ninachokisema ni kwamba hapa hakuna wakombozi ila watu wanaotaka kuwaondoa watawala ili wao watawale. Mtu kuitwa mkombozi si mchezo. Mara nyingi wakombozi huwa si wanasiasa japokuwa wakishakomboa wengine hugeuka na kuwa wanasiasa wa hovyo kabisa!
- Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!
Akili ya Wiliam ni sawa na mtoto njiti.Bado anaendelea kukua ubongo
Uko sahihi mkuu! Nampongeza sana Mnyika Hana Makuu kaka wa watu. Kusema ukweli Kama wanapiga kelele Viongozi wa Serikali wanunue Magari ya chini wao walitakiwa kuwa mfano wa kutumia hayo Magari hata Kama wanatumia kwa fedha zao. Tuone maisha Yao halisi Na wala si kuwatupia mawe wenzao.
Re: Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!
Cheza na V8 wewe muulize waziti mkuu wako Pinda alibana akaachia.Hiyo kitu kwenye makorongo hapana sikia.Ushawahi panda wewe hutakaa ukakataa ukipewa.
Mkuu saimon111 hapo ndipo mnapokosea! CDM isijlinganishe ama kujifananisha na CCM. CDM si inataka kuleta mambo tofauti na yanayofanywa na CCM basi ianze kuonyesha hivyo. Kama kweli wanapinga matumizi ya magari manono huko serikalini na kwamba wakiingia watayapiga marufuku basi waanze wao kutumia gari ndogo ili nasi tupate kuwaamini kwamba kweli wakifika huko watageuza mambo. Hivi kama mtu hayupo serikalini lakini anatumia magari makubwa kama ya serikali unategemea akiingia serikalini ndio aache V8 VX achukue RAV4!
Hata kama yalinunuliwa na pesa za michango. Ina maana CDM haina vipaumbele vingine?Heshima kwenu wanajamvi,
Mkuu W J M kauliza swali zuri sana bahati mbaya hapewi majibu ana ambulia kejeli na viroja.Wanajamvi wenzangu tuitendee haki JF kama huna uwezo wa kujibu hoja kaa pembeni magauzi ya kweli yatafanikiwa ikiwa tutakubali kukosolewa na kujisahihisha.
CDM leo ni chama cha upinzani kesho kinaweza kuwa chama tawala mambo yanayotendwa na viongozi wake leo yanatoa mwanga wakipewa dola watatutendea nini !.
Tunapinga kwa nguvu zetu zetu serekali ya CCM iachane na matumizi ya magari ya kifahari bahati mbaya mbadala wa CCM naye anatumia magari ya kifahari ?.
Wednesday, May 30, 2012
Hawa wanaweza kuwa Great Thinkers kweli? U decide
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment