MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI DOGO JANJA A.K.A Nassari ameendeleza utoto wake bila kujitambua kuwa yeye ni Mbunge wa chama makini cha Chadema.
Usiku huu amekwenda kwenye ukumbi huo akiwa ameambata na mawanamke aliyevalia nusu uchi...half naked) na kwenda kukaa naye kwenye jukwaa dogo liliopo pale ndani ya ukumbi..Bwana Nassari akiwa amepiga...ilia kombati za chama....amejikuta akipigwa picha nyingi zikimuonesha akiwa amekumbatiana na mwanamke huyo aliyevalia kichupi na mapaparazi kibao. Huku wananchi waliopo eneo hili wakimzunguka kumshangaa namna anavyojidhalilisha yeye pamoja na kombati za chama..watuwanamnyoshea kidole..wengine wanapiga kelele za kuzomea n.k
Kijana machachari wa chadema Gwa...ndiye aliyetoa msaada pale kati baada ya kumbeba Nasari juu juu na kumkimbiza ili asiendelee kupigwa picha na kuzongwa na watu huku wakimtukana na kumtolea maneno makali sana kwamba nakizalilisha chama..Kasahau yeye ni mbunge,lazima ajifunze namna ya kuonekana mbele ya jamii.
Mwanamke aliye valia half Necked ameachwa hapo huku akiambulia matusi na makonzi kwa mbali kwa kitendo chake cha kuanza kumtafuta mbunge aliyekimbizwa kusiko julikana.
NOTE:leo Dar Live Mbagala ni Usiku wa MH.MBunge wa MBeya SUGu..hivyo wabunge kadhaa wa chadema wakiongozwa na mwenyekiti wa taifa wapo pale kwaajili ya kumpa sapoti SUGU aliyejiwekea malengo ya kukusanya pesa kupitia show hii kwaajili ya mfuko wa maendelo ya wilaya ya mbeya Mjini
Mbunge huyo (kulia aliyenyoosha vidole) akiwa nchini Marekani (picha na swahilivilla) akiangalia mechi ya soccer hivi karibuni.
Picha za tukio zitarushwa hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment