Friday, June 1, 2012

MJADALA wa leo Facebook: Suala: Muungano


Owawa Wazanzibari wanadai haki yao au wanajinyima haki yao kutokana na madai yao kuhusu Muungano? Je,Nini kifanyike kuimarisha,kuboresha,kuunda upya Muungano ili kukidhi matakwa ya wananachi? Tujadili
 COMMENTS:
    • Henry  Kwakuwa hatujui kilichoandikwa kwenye mkataba wa Muungano kuna vitu itakuwa ngumu kuvijadili hivyo ni muhimu kama sio lazima mkataba ukawekwa hadharani...ila kwa hii hali ya kawaida ignore mkataba...inabidi kuwe na either one government au three government (Tanganyika,Zanzibar na Tanzania)na kila moja ijitegemee ...sehemu ambazo muungano tutakuwa tunashare ndizo zitakuwa zinachangiwa sawa kwa sawa (pasu kwa pasu) hope naeleweka wachangiaji ni Tanganyika na Zanzibar wakiipa Tanzania...
      10 hours ago via mobile · · 1

    • George  Ni kupata itimisho ya muungano kwa sababu mkataba atuja uona na hivyo wali amua wakubwa wawili wa ungane wa2 wana ingilia ujue tuta lanika kiukweli ili swala alina itimisho daima
      9 hours ago via mobile ·

    • Faustine  uvunjike, kwani mi naona sisi wa bara ndo tunanyonywa
      8 hours ago ·

    • Manu  I am in for KUVUNJA MUUNGANO. Hawa watu wachache ambao idadi yao haifikia hata theluthi ya watu wakazi wa mji wa Dar; siyo watu wa kutusumbua! Tumewabeba sana kwa muda mrefu! Taabu ni kwamba hawaelezwi ukweli. Kwanza kiasilia ni wavivu sana; ni tende na kunywa kahawa vijiweni!!! Wameniudhi sana kuchoma makanisa!! HOW Could this happen in Tanzania?
      8 hours ago · · 1

    • Henry  Hujakosea ndio maana kwa upande wangu kama alivyosema mtoa mada nisuggest pia serikali tatu na tuchangie pasu kwa pasu sio hii ya sasa ya kugawana mapato sawa sawa while wao kwa upande wao hakuna la maana....
      8 hours ago via mobile ·

    • Faustine  wakati hata nchi za kiarabu zinapigana kuendeleza sayansi na teknologia, waislam wetu ndo kwanza wanataka mahakama za kadhi na udini, jamani dunia haiko huko c wakristo au waislam tufanyekazi tuendeleze nchi, watu wenyewe maskin lakini ndo kwanza tunataka udini, tukitata huo udini kitakachofata ni ukabila muda huo wazungu wanachimba na dhahabu na mafutata, tukistuka yamebaki mashimo.
      8 hours ago · · 1

    • Manu  Tuwe wakweli, kama siyo swala la usalama wa hapa BARA; hakuna faida hata moja ambayo tunaipata sisi wa Bara kuwa na huu Muungano. Sisi tunaweza tukaongeza Budget yetu ya ULINZI na USALAMA; na tukakubali kuvunja huu Muuungano. Hakuna faida yeyote ambayo kiukweli tunaipata sisi wa Bara kuwa na huu Muungano na Wazanzibari, mbali na umoja wa Ki afrika. Lakini tupo tayari kuishi Tanzania Bara pekee yetu na kuichukulia Zanzibar sawa na nchi kama Seyshells au Madagscar! Hakuna sababu ya kung'ang'ania huu muungano, kama idadi kubwa ya Wazanzibari hawautaki!!! Hili si jambo la kulazimishana!~! Wao wanafaidika zaidi na huu Muungano kuliko sisi; huo ndiyo ukweli. Wapemba na Wazanzibari wote walioko Bara, waondoke na kurudi kwao Kisiwani na Watanzania Bara walioko Kisiwani warudi Bara; then tuone matokea yake yatakuaje!!! Leo wameyachoma makanisa pale Unguja; kesho watayachoma hapa Dar; then watachoma Moshi na kijijini kwangu Usangi. Sasa kwanini kuendelea kuwa nao? Mimi Muungano wa jinsi kama hii siutaki! Kakisiwa kadogo ndiko katunyanyesi kihivi!!! HAIWEZEKANI NA HAIKUBALIKI!!!!
      8 hours ago · · 1

    • Jebra  tufunje tu! wasije kuungana na al shabab ikawa balaa! maana muungano hauna uhusiano na makanisa wanayao tu!
      7 hours ago via mobile ·

    • De  wanadai haki yao!! wana haki zote za kujiamulia lolote ndani ya muungano, wao ndio wenye nchi.
      Kama wanaweza kupiga kura wakajiamulia rais na wabunge wao, kwa nini wasiwe na uwezo wa kujiamulia muungano. ni upofu tu wa viongozi wetu kufikiri kimgandomgando, Dunia ya nyerere na karume si ya leo, imebadilika kiteknolojia mpaka maisha ya kawaida.
      Hivi hata kama ungekuwa wewe umeolewa na mwanaume/mwanamke asiyejua kutunza familia, kazi yake ni kujijali na tuuuu, kwa nini usidai talaka???
      Wameona hawanufaiki na chochote, si madini, mlima wala mbuga!! si serikali, bunge wala mahakama, kwao mwaka jana na mwaka huu ni ule ule na tena hali inazidi kuwa ngumu tu.
      Wadai na tena waendelee kudai, either kuuvunja muungano au urekebishwe zote ni haki zao!! (ila wasichome moto makanisa na mali za wananchi wengine)

      7 hours ago ·

    • Ahmed  Hivi nyie miongoni mwenu mna akili timamu sisemi hivi kuwatukana bali mlitakiwa kujua nini muungano na kati ya tanganyika na zanzibar wameungana nin hamjui nandio mnaongea pumba (asante)
      7 hours ago via mobile ·

    • De Kleinson  kujadili si kuulizana kama wenzako wana akili timamu, ni vyema ukawaonyesha akili zao hazipo timamu kwa kutumia hoja,
      Vunja hoja ya mtu kwa hoja yako, kila mtu ana uhuru wa kutoa kile kilichopo kwenye akili yake.

      7 hours ago ·

    • Manu  mnaweza kurudi kwenu Unguja na mukaondoka huku Bara! Hizo imani zenu za kuchoma moto makanisa hatuzitaki. Wewe unafanya nini Kinondoni? Si uondoke urudi kwenu???? Mumetutosha. Idadi yenu ni sawa na wakazi wa mkoa wa Manyara au nusu ya wakazi wa Rukwa. Sasa kiukweli ni kwamba sisi Wabra hatuna faida ya kuwa na ninyi kwenye huu muungano. Na mukae na kujua ya kwamba, ninyi munanufaika zaidi kuliko sisi. Tatizo ni kwamba wengi wenu hamkufundishwa Elimu ya Uraia na kupewa misingi ya huu muungano!
    • Ahmed  ‎@Manu katiya2 ambao hawajui nini muungano na kwanini wazanzibari hawautaki muungano wew 1 wao unaoneka hutaki kuuliza ukapata faida mjinga muache na ujinga wake
      @De kle nakuba liana nawe sasa navnja hoja kama katiba yanchi ss ina miaka 50 tunataka ibadilishwe nasi 2nataka mungano uwe kama enzi za karume jeshi na sarafu tu nasio chengine

      7 hours ago via mobile ·

    • De Kleinson , sijakuelewa unaposema "katiba ya nchi ss ina miaka 50 tunataka ibadilishwe nasi tunataka muungano uwe kama enzi za karume jeshi na sarafu tu na sio mengine"
      Ni vyema ukatufafanulia tusioelewa jinsi muungano ulivyokuwa enzi za karume za jeshi na sarafu, na pia mambo mengine msiyoyataka ni yepi!!
      Tujuze mkuu ili tuweze kujadiliana vyema.

No comments: