Selasini na Nape wakifurahia jambo baada ya kutaniana
katika masuala ya siasa.
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye
akimjulia hali, Mbunge wa Rombo kwa tiketi ya Chadema, Joseph Selasini,
alipomtembelea wodini, katika hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam.
Selasini anapatiwa matibabu katika hospitali hiyo baada ya kuhamishwa kutoka
hospitali ya KCMC ambako alikuwa akitibiwa baada ya kupata ajali ya gazri hivi
karibu kushoto kwake ni Mwenyekiti wa chama cha Mapindizi
Mkoa wa Dar es Salaam John Guninita,
No comments:
Post a Comment